﻿"Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,"
"Na shari ya alivyo viumba,"
"Na shari ya giza la usiku liingiapo,"
"Na shari ya wanao pulizia mafundoni,"
Na shari ya hasidi anapo husudu.
