﻿"Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia."
"Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma."
Atauingia Moto wenye mwako.
"Na mkewe, mchukuzi wa kuni,"
Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.
