﻿Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
"Huyo ndiye anaye msukuma yatima,"
Wala hahimizi kumlisha masikini.
"Basi, ole wao wanao sali,"
Ambao wanapuuza Sala zao;
"Ambao wanajionyesha,"
Nao huku wanazuia msaada.
