﻿"Kwa walivyo zoea Maqureshi,"
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
"Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,"
"Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu."
