﻿Naapa kwa Zama!
"Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,"
"Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri."
